BitcoinSafariTz
reverendtiger@happytavern.co
npub1t8cx...sqc6
Bitcoin Maxi , Founder of BitcoinsafariTz, Mentor , businessman, Hustler ,Tourism,bitcoin is freedom, Labtechnician , Multipurpose, Pay with bitcoin for vacation/ trip to Tanzania with bitcoin , onboard btc merchants in Tanzania , Freedom ,Nostr , explore the beautiful and nature of Tanzania πΉπΏ, chaggaboy ,Kilimanjaro my home land [marangu -kilema] ,Running Free Bitcoin Diploma Course using MI Primer Bitcoin Education syllabus in Tanzania πΉπΏ

Leo Tujifunze kuhusu Bitcoin ATM π§ Iliyopo Kenya, Nairobi - Two Rivers Mall
Wana BitcoinSafari, leo historia inaandikwa mbele ya macho yetu. Katika jiji la Nairobi, ndani ya Mall kubwa na ya kifahari ya Two Rivers Mall, Ground Floor, kati ya duka la Levi's na LC Waikiki , tumefanikiwa kuona kitu ambacho miaka mitatu iliyopita tulikiona kama ndoto.
Bitcoin ATM ya kwanza ya Kenya, yenye rangi ya chungwa inayong'aa, iliyowekwa na timu ya @BanklessBitcoin .
Hii si ATM ya kawaida. Hii ni daraja kati ya shilingi ya mfukoni mwako na fedha ya mtandao ya kesho.
Inafanya kazi vipi kwa mwananchi wa kawaida?
1. Kununua Bitcoin: Huhitaji akaunti ya benki au Binance. Unakuja na pesa taslimu zako za kenya shilling . Unachukua simu yako, unafungua wallet yako (kama Manna, Phoenix, au Muun). Mashine inakupa QR code, una-scan, unaweka pesa taslimu, na ndani ya dakika chache, Bitcoin inaingia moja kwa moja kwenye simu yako. Ajabu zaidi, unaweza kuanza na kiasi chochote unachotaka .!
2. Kuuza Bitcoin: Una Bitcoin kwenye simu yako na unahitaji pesa taslimu? Unatuma Bitcoin kwenye anwani ya mashine, na mashine inakutapikia KSH taslimu papo hapo. Inafanya kazi kwa mtandao wa kawaida wa Bitcoin (on-chain).
Kwa nini hii ni kubwa kwa Afrika Mashariki?
Mashine hii imewekwa kimkakati pembeni ya ATM za benki kubwa kama NCBA. Ni ujumbe mzito. Inasema, "Bitcoin sasa iko sawa na benki." Imewekwa wakati Kenya imepitisha sheria mpya ya VASP Act (Novemba 4, 2025) . Benki Kuu ya Kenya (CBK) na CMA wamesema bado hakuna kampuni iliyopewa leseni rasmi, lakini ukweli ni kwamba miundombinu ishaanza kuwekwa kabla ya sheria. Hii ni fursa.
Kwa sisi Watanzania, tunajifunza nini? Kesho mashine kama hii itakuja Mlimani City, Dar. Swali ni, wewe utakuwa umejiandaa kuitumia au utabaki kuitazama tu? Elimu ya kujihifadhi mwenyewe (self-custody) ndiyo ufunguo.
Tanzania tuamke na kujifunza zaidi kutoka kwa wenzetu majirani .
#BitcoinKenya #TwoRiversMall #BanklessBitcoin #ElimuYaBitcoin #BitcoinTanzania


Leo Tujifunze Zaidi Kuhusu PlanB.network na Namna Watanzania Tunavyoweza Kufaidika
Ndugu yangu, unataka kujifunza Bitcoin kwa kina, bure kabisa, bila utapeli wa "tuma $100 upate $1000"? Basi leo nakuletea chuo kikuu cha Bitcoin duniani.
PlanB.network ni nini?
ni chuo kikuu cha mtandaoni (open-source university) kilichojengwa na wanafunzi wa zamani wa Plan βΏ Summer School Lugano, Uswisi. Ni jukwaa kubwa la elimu ya Bitcoin, blockchain na teknolojia huria lililotengenezwa kwa ajili ya dunia nzima, na ni BURE 100% .
Kuna nini ndani?
1. Kozi Za Kina (Courses): Kuna kozi zaidi ya 40+. Kuanzia BTC 101 kwa mgeni kabisa, mpaka kozi ngumu za Uundaji wa Wallet, Lightning Network, Cryptography, Mining, na Ukuzaji wa Programu (Development). Kila kozi ina video, maandishi, na mtihani.
2. Tutorials za Vitendo: Utajifunza kwa vitendo - Jinsi ya kufunga node yako, jinsi multisig inavyofanya kazi, jinsi ya kutengeneza wallet ya baridi.
3. Cheti Cha Kimataifa: Ukimaliza kozi, unapata cheti cha kidigitali chenye uthibitisho kwenye blockchain ya Bitcoin. Hiki kinaweza kukusaidia kupata kazi kwenye makampuni ya crypto duniani.
4. Lugha na Jumuiya: Jukwaa lipo kwa lugha nyingi na lina jumuiya ya wanafunzi zaidi ya 30,000 duniani kote. Unaweza kujifunza kwa Kiswahili pia kwenye baadhi ya sehemu.
Faida kwa Mtanzania?
Tatizo letu Tanzania si kukosa Bitcoin, ni kukosa ELIMU SAHIHI.
inakupa elimu iliyo sawa na anayepata mwanafunzi Uswisi, bila kulipia hata shilingi. Badala ya kulipia kozi za uongo za forex Instagram, unaweza kujisomea wewe mwenyewe, kuelewa Bitcoin kwa undani, na kuwa mwalimu kwa wengine kijijini kwako.
Hii ndiyo njia ya kutengeneza ajira kuwa fundi wa Lightning, fundi wa node, au mwalimu wa Bitcoin.
Nenda leo: planb.network - Fungua account, anza na kozi ya "Bitcoin 101".
#PlanBNetwork #ElimuYaBitcoin #BitcoinTanzania #JifunzeBitcoin


Plan βΏ Academy
Let's build together the Bitcoin educational layer

Leo Tujifunze Kuhusu Kitabu cha Bitcoin Kids
Wazazi wengi Tanzania tunauliza, "Mtoto wangu wa miaka 7 atajifunza vipi Bitcoin?" Jibu liko hapa, katika kitabu kinachoitwa Bitcoin Kids Book ..
Hiki si kitabu cha kawaida. Hiki ni kitabu kilichoandikwa na Mwalimu wa Kiafrika kutoka Cameroon, Nzonda Fotsing Sr (anayejulikana kama Bitcoin Sophist) , mtu ambaye amejitolea kufundisha watoto wa Afrika elimu ya fedha kupitia hadithi za familia.
Kitabu kinafundisha nini?
Kitabu kimeandikwa kwa lugha rahisi sana, yenye picha za rangi zinazovutia watoto wenye umri wa miaka 5 hadi 14. Badala ya maneno magumu ya cryptography, mwandishi anatumia mfano wa familia: Baba, Mama na watoto wawili wanajifunza pamoja.
1. Pesa ni nini? Watoto wanaelezwa kwa nini pesa ya karatasi inapoteza thamani (mfumuko wa bei) na kwa nini Bitcoin ina jumla ya milioni 21 tu na haiwezi kuchapishwa na serikali.
2. Akiba na Matumizi: Kinawafundisha watoto tofauti kati ya kutumia na kuwekeza. Jinsi ya kuweka akiba ya sats kidogo kidogo.
3. Usalama wa Kidigitali: Watoto wanajifunza kuhusu funguo (private keys), wallet, na kwa nini usimwambie mtu yeyote maneno yako 12 ya siri.
4. Vitendo: Kitabu kina michezo, maswali ya kujipima na mazoezi ya kutengeneza wallet ya karatasi pamoja na mzazi.
Kwa nini ni muhimu kwa Mtanzania?
Sisi tulikulia tukifundishwa "soma upate kazi". Watoto wetu wanatakiwa wafundishwe "soma uunde pesa yako mwenyewe". Kitabu hiki kinamjengea mtoto akili ya uhuru wa kifedha tangu akiwa mdogo. Hakifundishi utapeli wa trading, kinafundisha misingi ya uhuru. Ukimnunulia mtoto wako kitabu hiki leo, unamfungulia mlango wa kuwa msanidi programu, mwekezaji au mwalimu wa Bitcoin kesho.
Inapatikana kama kitabu halisi na pia mtandaoni kwenye
#BitcoinKids #ElimuYaWatoto #TheBitcoinKids #UhuruWaKifedha #BitcoinTanzania

Bitcoin Kids

Leo Tujifunze Zaidi Kuhusu Neno "My Keys, My Coins" Not Your Keys, Not Your Coins
Katika ulimwengu wa Bitcoin, kuna msemo mmoja maarufu unaosema: "Not Your Keys, Not Your Coins" na kwa Kiswahili chetu sisi tunasema "Funguo Zangu, Sarafu Zangu - My Keys, My Coins".
Huu ndio msingi wa uhuru wote wa Bitcoin, na ukiuelewa vibaya, unaweza kupoteza kila kitu.
Ina maana gani hasa?
Unapoingia kwenye benki, pesa zako ziko kwa benki. Benki ndiyo ina funguo ya safe. Siku benki ikifilisika au ikifungia akaunti yako, pesa zako zinakwama.
Bitcoin ilikuja kubadilisha hiyo. Mfumo wa Bitcoin una kitu kinaitwa Private Keys - ni kama neno la siri la maneno 12 au 24 ambalo ndilo funguo pekee ya kufungua wallet yako. Mtu yeyote aliye na hiyo funguo, ndiye mmiliki halisi wa Bitcoin.
Sasa, kuna njia mbili za kuhifadhi Bitcoin yako:
1. Kwenye Exchange (kama Binance, KuCoin): Ukiacha Bitcoin yako huko, wewe HUNA funguo. Exchange ndiyo ina funguo. Hapo ndipo msemo unapokuja "Not Your Keys, Not Your Coins" - Kama funguo si yako, basi sarafu si zako. Kesho exchange ikifilisika kama ilivyotokea kwa FTX, au ikifungiwa na serikali, Bitcoin yako inaenda hewani. Wewe una namba tu kwenye screen, si Bitcoin halisi.
2. Kwenye Self-Custody Wallet (kama Manna, Phoenix, BlueWallet, Trezor): Hapa wewe ndiye unayemiliki maneno yako 12. Wewe ndiye benki yako mwenyewe. Hakuna mtu anayeweza kuzuia muamala wako, hakuna mtu anayeweza kufungia akaunti yako. Ndiyo maana tunasema "My Keys, My Coins" - Funguo zangu, sarafu zangu, uhuru wangu.
Funzo kwa Mtanzania:
Binance ni soko la kubadilishia, si benki ya kuweka akiba. Nunua huko, kisha hamisha mara moja kwenye wallet yako binafsi. Andika maneno yako 12 kwenye karatasi, usihifadhi kwenye simu au mtandaoni. Mtu akipata maneno yako, amepata pesa zako.
Kumbuka: Katika Bitcoin, wewe ndiye mlinzi wa utajiri wako.
#MyKeysMyCoins #NotYourKeysNotYourCoins #SelfCustody #ElimuYaBitcoin #UhuruWaKifedha


Leo Tujifunze Zaidi Kuhusu Bitrefill.com na Jinsi ya Kuitumia Hapa Tanzania πΉπΏ
Ndugu yangu, unayo Bitcoin kwenye simu yako lakini unashindwa kuitumia kununua vocha, kulipia LUKU au Netflix? Basi Bitrefill ndiyo suluhisho lako.
Bitrefill ni nini?
Bitrefill ni duka kubwa la mtandaoni duniani linalokuruhusu kutumia Bitcoin yako na Lightning kununua vitu vya kila siku bila kuhitaji benki au kubadilisha kwenda TZS. Ni kama Amazon ya Bitcoin.
Huduma gani zinapatikana kwa sisi Watanzania?
1. Miamala ya Simu (Airtime & Data): Unaweza kununua vocha za Vodacom, Tigo, Airtel, na Halotel moja kwa moja kwa Lightning. Haraka, ndani ya sekunde 5.
2. Luku ya Tanesco: Ndiyo! Unaweza kulipia umeme wa LUKU moja kwa moja kwa Bitcoin.
3. Gift Cards za Kimataifa: Unataka Netflix, Apple Store, Google Play, Spotify, Uber, Jumia? Bitrefill inazo gift card zaidi ya 5,000 kutoka duniani kote. Unalipia kwa sats, unapata code.
4. Kusafiri na Kula: Unaweza kubook hoteli na ndege kupitia Expedia vouchers au kununua vocha za chakula.
Njia za Malipo?
Bitrefill inakubali Bitcoin ya kawaida (on-chain) na ya haraka zaidi ya Lightning Network na payments zingine kama Usdt , usdc, ethereum , cardano na n.k .
Lightning ndiyo nzuri kwa Tanzania kwa sababu ada yake ni karibu sifuri (sats chache tu) na muamala unafanyika papo hapo.
Jinsi ya Kuanza?
Ni rahisi sana. Huhitaji hata ID. Unaingia tu kwenye tovuti, unachagua huduma, unaweka namba yako ya simu, na unalipia kwa wallet yako.
Kama mpaka sasa huna account, hii ndiyo nafasi yako ya kuanza kutumia Bitcoin yako kwa matumizi halisi ya kila siku. Fungua account yako leo hapa:
Link:
https://www.bitrefill.com/invite/btctz2024
Invite Code: π btctz2024
Ukifungua kupitia link hii, unasaidia kukuza jumuiya yetu ya Bitcoin Tanzania na wakati mwingine unapata zawadi ya kurudishiwa kidogo.
#BitrefillTanzania #LipaKwaBitcoin #LightningNetwork #BitcoinKilaSiku #BTCTZ


Planbnetwork workshop in Tanzania πΉπΏπΉπΏβ‘β‘


GOOD NEWS! DARASA LA LIVE KUHUSU BITCOIN WALLETS! π₯
Tarehe 23/10/2026 , saa 8:00 - 9:30pm EAT kamili tutakuwa LIVE kwenye Google Meet na Mwalimu wetu Graysatoshi .
Kama bado hujui Wallet ni nini, au unabakiwa na hofu ya kutuma Bitcoin, basi darasa hili ni kwa ajili yako.
Tutachambua kwa vitendo kabisa:
β
Nini maana halisi ya Bitcoin Wallet?
β
Aina za Wallets - Custodial vs Non-Custodial
β
Jinsi ya KUTUMA na KUPOKEA Bitcoin bila kukosea
β
Usalama wa maneno yako 12/24 ( private keys )
Na bora zaidi, tutatumia mifano hai kabisa kwa kutumia Bitcoin Wallets hizi:
- Manna Bitcoin Wallet
- Wallet of Satoshi
- Muun Wallet
- Na Hardware Wallet ya kisasa - Blockstream Jade (jinsi ya kuwa Bank yako mwenyewe!) Na zingine zaidi kuweka kuangalia zipi ni salama zaidi π
Hakikisha haukosi. Kuja na maswali yako yote, tutayajibu moja kwa moja.
Hifadhi nafasi yako sasa hapa:
Link ya Darasa π
Follow + repost + like our post on IG
πhttps://www.instagram.com/p/DeFm91sivqY/?stkn=aHFoNmdkYzY3YWc4
Karibu sana, elimu ni bure!

An error occurred - Calendar

A huge milestone unlocked! π
I'm thrilled to have completed the Plan βΏ Biz School 2025, taught by the legendary @Giacomo Zucco on @Plan βΏ Network and to have earned my diploma!
This wasn't just a course it was a deep dive into the entrepreneurial, economic, and philosophical mindset needed to build on Bitcoin. Learning directly from Giacomo was inspiring, provocative, and truly mind-shifting. From business models to Bitcoin's ethos, this school delivers pure signal.
Endless gratitude to @Plan βΏ Network and Professor @Giacomo Zucco for this world-class, free education.
Ready to build!
Verify here:
#PBNDiploma #PlanBNetwork #BitcoinBusiness #BitcoinEducation #PlanBBizSchool


Plan βΏ Academy
Let's build together the Bitcoin educational layer

Privacy is not a crime, it's a right! π‘οΈ
Proud to announce I've completed the BTC204 - Privacy on Bitcoin course at @Plan βΏ Network and earned my diploma with a score of 85/100 on the final exam! πͺ
This course was a deep dive into UTXOs, coinjoins, KYC, chain analysis, and how to use Bitcoin in a sovereign way. Bitcoin is transparent by default, but privacy is possible if you learn how to use the tools correctly. Essential knowledge for every Bitcoiner.
Thank you @Plan βΏ Network for making this crucial privacy education free and open to all.
Stay private, stay sovereign!
Verify here:
#PBNDiploma #PlanBNetwork #BitcoinPrivacy #LearnBitcoin #FinancialPrivacy

Plan βΏ Academy
Plan βΏ Academy - Let

Bitcoin means business! πΌ
I'm excited to announce I've completed the BIZ101 - Bitcoin for Business course at @Plan βΏ Network and earned my diploma with a score of 90/100 on the final exam! π
This course was incredibly practical from accepting Bitcoin payments, treasury strategy, accounting, and circular economies to understanding why businesses need sound money on their balance sheet. Bitcoin isn't just for individuals, it's for smart businesses too.
Big thank you to @Plan βΏ Network for making high-quality, free Bitcoin business education accessible to everyone.
Ready to orange-pill the business world!
Verify my certificate:
#PBNDiploma #PlanBNetwork #BitcoinForBusiness #BitcoinEducation #LearnBitcoin


Plan βΏ Academy
Let's build together the Bitcoin educational layer

Why does sound money matter? History has the answer. π
I'm proud to share that I've completed the ECO204 - Hyperinflation Case Studies course at @Plan βΏ Network and earned my diploma with a score of 83/100 on the final exam! πͺ
From Weimar Germany to Zimbabwe, Venezuela, and beyond this course was a powerful lesson on how money printing destroys economies and why Bitcoin as hard, scarce money is a necessary alternative. A truly eye-opening deep dive.
Thank you @Plan βΏ Network for making this critical economic education free and accessible.
The more you learn, the more you understand Bitcoin.
Verify here:
#PBNDiploma #PlanBNetwork #BitcoinEducation #Hyperinflation #SoundMoney


Plan βΏ Academy
Let's build together the Bitcoin educational layer

The journey begins! π§‘
I'm thrilled to share that I've completed the BTC101 - The Bitcoin Journey course at @Plan βΏ Network and earned my diploma with a score of 83/100 on the final exam! πͺ
BTC101 is the perfect starting point it takes you from the basics of what money is, why Bitcoin was created, and how it empowers financial sovereignty for everyone. This course truly strengthened my conviction and deepened my understanding of why Bitcoin matters.
Thank you @Plan βΏ Network for offering free, high-quality Bitcoin education to the world. This is just the beginning!
Verify here:
#PBNDiploma #PlanBNetwork #BitcoinEducation #BTC101 #LearnBitcoin


Plan βΏ Academy
Let's build together the Bitcoin educational layer

Another block mined in my learning journey! βοΈ
I'm happy to announce I've completed the MIN101 - Introduction to Mining course at @Plan βΏ Network and earned my diploma with a score of 98/100 on the final exam! π
This course broke down the fundamentals of Bitcoin mining from what a nonce and block template are, to why Proof-of-Work is essential for a decentralized, secure, and trustless system. Mining is what makes Bitcoin unstoppable.
Sincere thanks to @Plan βΏ Network for making such powerful education free and open-source.
The rabbit hole goes deeper. On to the next!
Verify here:
#PBNDiploma #PlanBNetwork #BitcoinMining #BitcoinEducation #ProofOfWork #Mining101 #LearnBitcoin #BitcoinAfrica #StudyBitcoin #Bitcoin


Plan βΏ Academy
Let's build together the Bitcoin educational layer
