Trezor Academy Session 2/3 Recap β‘
Tarehe 21/02/2026, @Bitcoin Arusha Bikwa kushirikiana na #powa255 tuliendesha kwa mafanikio Session ya 2/3 ya #TrezorAcademy.
Katika session hii tuliangazia kwa undani:
π Maana na matumizi ya custodial wallets
π€π₯ Jinsi ya kutuma na kupokea Bitcoin
π Matumizi ya Bitcoin katika maisha ya kila siku
π³ Namna ya kununua Bitcoin kupitia #Chapsmart
Washiriki walipata uelewa mpana zaidi kuhusu uhifadhi na matumizi sahihi ya Bitcoin kwa vitendo.
Usikose Session ya Mwisho (3/3) itakayofanyika tarehe 28/02/2026 pale pale Bitcoin Arusha Hub.
Karibu ujifunze, ukue na ujijengee uhuru wa kifedha kupitia Bitcoin π
#BitcoinArusha #TrezorAcademy #BitcoinEducation #Powa255
@Man Like Kweks @SatsTaggaβ‘

